Thursday, June 12, 2014

SOKO LA KARUME LINATEKETEA KWA MOTO HIVI SASASoko la karume liliopo katika wilaya ya ilala jijini daresalaam  hivi sasa lina waka moto mkubwa  sana zima moto imefika inaendelea na zoezi ila wanakiri kushindwa kuzima moto wenyewe kutokana na ukubwa na kuanza kuelekea katika kiwanda cha bia huku ikiinguza nguzo za umeme

Watu ni wengi police wamefika na kuwatawanya watu kwa kupiga risasi juu hapa ni patashiki tutakujulisha kila kitu baada ya kupata ripot kamili maaana thesuperstarstz ipo eneo la tukio.


No comments:

Post a Comment