Tuesday, July 08, 2014

Hii Ndio Diamond Platnumz Amzawadia Mama Yake Linathaman ya Mil.38 Kwenye Birthday Yake.

Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38.1 aliyozawadiwa mama Diamond na mwanaye.
Muonekano wa gari hilo kwa nyuma.
Superstar wa Bongo Fleva, Tanzania Diamond Platnumz amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi, Sanura Kassim 'Sandra'.
Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa brthday ya kutimiza miaka 55 hapo jana katika hafla iliyohudhuriwa na mastaa kibao.
Gari lililotolewa ni Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38.1. Diamond amekabidhi gari hilo kupitia kwa meneja wake, Babu Tale wakati yeye akiwa nje ya nchi.

credit: Globalpublishers

No comments:

Post a Comment