Tuesday, October 21, 2014

MSANII WA BONGO MOVIE SHERRY MAGARI AMBAYE PIA NI MTOTO WA MCHEZA FILAMU CHARLS MAGARI AFARIKI DUNIA

Marehemu Shery Charls Magari
Marehemu sheri akiwa kapoz enzi za uhai wake
Hapa akiwa na wasanii wenzake wa kundi la vituko show
Aliyekuwa muigzaji katika kundi la vichekesho la vituko show ambaye pia alikuwa mtoto wa muigizaji filamu charls magari ambaye alikuwa anajulikana kwajina la Shery Chalrs Magari amefariki dunia leo saa nne katika hospitali ya rufaa Morogoro. Sherry ambaye amecheza filamu nyingi amefariki baada ya kuugua muda mrefu

Kwasasa mipango ya mazishi inafanywa na sisi kama wadau tutakujulisha kila kitu muda utakapowadia

No comments:

Post a Comment