Thursday, October 30, 2014

MSIBA MZITO BONGO MUVI ...MWIGIZAJI MZEE MANETO WA DAR TO LAGOS ALIYOCHEZA KANUMBA AFARIKI DUNIA


Aliyekuwa muigizaji katika kiwanda cha filamu tanzania  Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. thesuperstarstz ipo bega kwa bega na itakuletea kila kitu kitakachojiri katika msiba huu mzito wa mzee wetu Manento.
Muigizaji huyu aliyewahi kutamba katika michezo ya kuigiza maarufu kwa jina la tamthilia na baadae kuhamia katika filamu ambapo wengi tunamkumbuka hasa kwa filamu alizocheza kwa umakin mkubwa akiwa na aliyekuwa nguli wa filamu enzi hizo marehemu Steven  Kanumba,filamu hizo ni kama  Dar to lagos,Hero of the church,fake pastor n.k pumzika kwa Amani mzee wetu mbele yetu nyuma yako
Mungu ailaze Roho yako mahali pema peponi amin

No comments:

Post a Comment