Saturday, March 28, 2015

ASANTEN WADAU WANGU KWAKUNIUNGA MKONO WAKATI WOTE

Hapa nikiwa na Marehemu  mama yangu
wadau nawashukuru sana kwa suppot yenu ya kuendelea kututembelea japo hapakuwa na update zozote kikubwa niwaombe msamaha sana kiukweli nimepiga magoti ndugu yenu nisameheni sana.
kifupi nilipatwa na msiba na wa mama yangu na toka hapo sikuwa karibu na nyinyi kwakuwa niliporudi kijijini kumuhifadhi mama yangu hapakuwa na net ila nimesharudi sasa naomba ushirikiano wenu nimerudi salama na mungu atusimamie tuendelee na kazi kwani maisha lazima yaendeleee

No comments:

Post a Comment